HISTORIA
YA TAMKA
Tanzania Mjini Kazi,
kwa kifupi inaitwa “TAMKA”, ni Asasi
ya kiraia na kijamii yenye malengo na madhumuni ya kujipatia na kuhamasisha
maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika Manispaa ya Morogoro, Nchini kote na hata Duniani kwa
ujumla.
Hii ni kwa maana ya
maendeleo endelevu katika sekta na Nyanja mbalimbali za uchumi – jamii.
Asasi hii imeanzishwa
na wanachama waanzilishi wapatao kumi na mbili (12) ambao majina yao ni; Daudi S. Mnadi, Paulo P. Masenga, Paulo Katete,
Paulo C. Mponji, Heri Mfaume, Francis Kiwele, Seif Kinyongoni, Elias S.
Msyokege, Nassor A. Ndege, Chabi Kavona, Neema I. Asombwile na Lilian D.
Dalumu.
Asasi hii imeanzishwa
rasmi mnamo tarehe 17/02/2013 ambapo
ilitunga na kuandika katiba pamoja na kuainisha mfumo wake wa uongozi na
utawala.
Asasi hii haihusiani
wala haijihusishi, kwa namna na maana yoyote ile na; Dini, Siasa, Rangi,
Jinsia, Jambo au mlengo wowote waitikadi unaofanana na mambo hayo yaliyotajwa
hapo juu.
Asasi hii kwa sasa ipo ndani ya manispaa ya Morogoro
na makao makuu yake ni mtaa wa Kihonda Mbuyuni na kata ya Mafisa.
Hadi sasa, “TAMKA”
imeshakabidhiwa katiba na Hati ya Usajili toka kwa Msajili wa Vyama, Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Dar es salaam.
Hati ya Usajili ni Namba S.A. 18938 chini ya [CAP.
337 R.E. 2002], tarehe 30/08/2013.
In english
Tanzania Mjini Kazi simply called "TAMKA” is civil and social organizations with the goals and
purposes of acquiring and promoting economic
and social development in Morogoro Municipality,
across the country and even the world at
large.
This is the meaning of sustainable development in various fields of
industry and economy
- society.
This organization was established by
the founding members about twelve (12) whose names are: David S. Mnadi, Paulo P. Masenga, Paulo Katete,
Paulo C. Mponji, Heri Mfaume, Francis Kiwele, Seif Kinyongoni,
Elias S. Msyokege,
Nassor A. Ndege Chabi Kavona,
Neema I. Asombwile and Lilian D. Salumu.
This organization was established
officially on date
02/17/2013 which enacted a constitution-writing as well as identifying
its system of administration and
governance.
This organization does not involve in any
of the: Religion, Politics, race,
gender, or focus anything similar
ideology and those
things mentioned above.
This organization currently exists
within Morogoro municipality
and its headquarters is Mbuyuni Kihonda
local and county
offices.
Until now, TAMKA’s constitution has
already been delivered and Certificate
of Registration from the Registrar of Societies, the Ministry of
Domestic Affairs, in Dar es Salaam.
Certificate of Registration is Number S.A. 18938 under [CAP. 337 R.E. 2002], dated 30.08.2013.
Thanks in advance.